Mripoko watokea katika machimbo ya madini ya makaa ya mawe nchini Uturuki
14 Mei 2014 - 15:25
Msimbo wa Habari: 608559
Shirikal la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kutokana na mripoko uliotokea katika machimbo ya madini ya makaa ya mawe nchini Uturuki watu 200 wamepoteza maisha, watu hao waliofariki ni wafanya kazi na vibarua katika mgodi huo uliopo mkoani Somaa nchini Uturuki.